|
|
Gazeti
INJILI http://munishi.netfirms.com
E-mail: munishifaustin@yahoo.com Or fmunishi@hotmail.com
Pastor
Nduati afikishwa mahakamani
Hivi
ndivyo magazeti ya Kidunia huripoti kuhusu watumishi wa Mungu. Yale
mabaya tu. Hata kama kuna ukweli ndani yake, kwa nini wasiripoti na
yale mazuri? Cha ajabu utawaona wachungaji wakiwapelekea matangazo
na kununua nafasi ya kurusha hewani vipindi vyao vya mahubiri, lakini
hawajali kufanya hivyo kwa vyombo vya habari vya kiinjili.
|
|